Luke 13:6

Mfano Wa Mti Usiozaa Matunda

6 aKisha Yesu akawaambia mfano huu: “Mtu mmoja alikuwa na mtini uliopandwa katika shamba lake la mizabibu, akaja ili kutafuta tini kwenye mti huo, lakini hakupata hata moja.
Copyright information for SwhNEN